Nanase Kiryu (alizaliwa 31 Oktoba 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani aliyecheza kama mshambuliaji wa klabu ya Changnyeong WFC inayoshiriki ligi ya wanawake ya WK. Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Sky Blue FC lands Japanese international Kiryu". Soccer America Daily.
  2. "Japanese International Nanase Kiryu Joins Sky Blue FC". Sky Blue FC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-02-22. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nanase Kiryu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.