Nancy Bertler
mtafiti wa antarctic
'
Nancy Bertler | |
---|---|
Faili:Nancy Bertler and Alex Pyne at Roosevelt Island.jp Nancy Bertler na Alex Pyne wakipata nyenzo za msingi kutoka chini ya msingi wa RICE, Kisiwa cha Roosevelt, Antaktika. | |
Kazi yake | mtafiti alieongoza utafiti mkubwa wa historia ya mabadiliko ya tabia nchi |
Nancy Bertlerni Ni mtafiti alieongoza utafiti mkubwa wa historia ya mabadiliko ya tabia nchi,anajulikana zaidi kwa harakati zake na uongozi katika kituo cha utafiti katika kisiwa cha Roosevelt Island[1],pia ni profesa katika kituo cha utafiti cha Antarctic Research Centre kilichopo chini ya Chuo kikuu cha Victoria cha huko Wellington nchini New Zealand.[2][3]
{{Multiple image | align = right | direction = horizontal | image1 = | width1 = 150 | image2 =Dr Richard Levy and Dr Nancy Bertler members of the 2019 Prime Minister's Science Prize winning team.jpg | width2 = 250 | footer =
Marejeo
hariri- ↑ "RICE home page".
- ↑ "AProf Nancy Bertler". Victoria University of Wellington. 3 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 3 Julai 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wellington, Victoria University of (2023-02-07). "Promotion to Professor 2022 | News | Victoria University of Wellington". www.wgtn.ac.nz (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nancy Bertler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |