Nane ni namba ambayo inafuata saba na kutangulia tisa. Kwa kawaida inaandikwa 8 lakini VIII kwa namba za Kiroma na ۸ kwa zile za Kiarabu.

Mabadiliko katika kuandika nane.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 (au 23).

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.