Saba ni namba ambayo inafuata sita na kutangulia nane. Kwa kawaida inaandikwa 7 lakini VII kwa namba za Kiroma na ٧ kwa zile za Kiarabu.

Mabadiliko katika kuandika saba

7 ni namba tasa.

Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sabini (saba mara kumi).

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saba (namba) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.