Naqada
Naqada ni mji uliopo magharibi mwa Mto Nile katika Gavana wa Qena, Misri. Upo kilomita 20 kutoka kaskazini mwa Luxor.Inajumuisha vijiji vya Tukh, Khatara, Danfiq, na Zawayda.Kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 1960 inaonyesha ni moja ya maeneo yasiyokua na watu , ulikuwa na wakaaji 3,000 tu, wengi ni wenye imani ya kikristo [1]wanaotunza vipengele vya lugha ya Coptic hadi miaka ya 1930.[2]
Akiolojia
haririNaqaba ulikuwa kitovu cha ibada ya Set na makaburi makubwa yalijengwa huko miaka ya 3500 KK[3].Idadi kubwa ya mabaki kutoka Naqada yaliweza kuhifadhiwa kipindi chote cha kiakiolojia kote Misri.Jina la mji Naqada linatumika kwa tamaduni ya kabla ya nasaba ya Naqada.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.arabwestreport.info/sites/default/files/pdfs/AWRpapers/paper52.pdf
- ↑ Worrell, W. H. (1937). "Popular Traditions of the Coptic Language". The American Journal of Semitic Languages and Literatures. 54 (1/4): 1–11. ISSN 1062-0516.
- ↑ https://books.google.com/books?id=PXZl03dabVYC&pg=PA75