Mkoa wa Qena (Kiarabu: محافظة قنا‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,001,494. Mji mkuu ni Qena.

Sehemu ya Mkoa wa QenaMkoa wa Qena
محافظة قنا‎

Bendera
Mahali paMkoa wa Qena محافظة قنا‎
Mahali paMkoa wa Qena
محافظة قنا‎
Mahali pa Mkoa wa Qena katika Misri
Majiranukta: 31°10′N 29°53′E / 31.167°N 29.883°E / 31.167; 29.883
Nchi Misri
mji mkuu Qena
Eneo
 - Jumla 1,796 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - Wakazi kwa ujumla 3,001,494
Tovuti:  http://www.kena.gov.eg/


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Qena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.