Nash Aguas
Nash Aguas (alizaliwa kama Aeign Zackrey Aguas tarehe 10 Oktoba 1998) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Ufilipino. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Peping katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kifilipino maarufu kama Gulong ng Palad, Kwa sasa anahudumu kama Diwani wa Jiji la Cavite tangu tarehe 30 Juni 2022.
Nash Aguas | |
---|---|
Amezaliwa | Aeign Zackrey Aguas 10 Oktoba 1998 Jiji la Cavite, Ufilipino |
Kazi yake | Mwigizaji Mwanasiasa |
Miaka ya kazi | 2004–hadi leo |
Wasifu
haririNash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa MTB kupitia Batang F4. Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha ABS-CBN maarufu kama Star Circle Kid Quest, ambamo alijiigiza kama Mr. Suave Mdogo.
Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za Bibbo Kid Of The Week mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la Grand Kid Questor na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.
Filamu
haririTelevisheni
haririMwaka | Jina | Jina aliliotumia | Mtandao |
---|---|---|---|
2004 | Star Circle Quest | kama jina lake/mshindani | ABS-CBN |
Mga Anghel Na Walang Langit | ABS-CBN | ||
2005 | Gulong ng Palad | Peping | ABS-CBN |
2005-present | Goin' Bulilit | kama jina lake | ABS-CBN |
2006 | Calla Lily | Terrence | ABS-CBN |
Komiks Presents: Vulcan 5 | Boyet | ABS-CBN | |
Komiks Presents: Inday sa Balitaw | Boyong | ABS-CBN | |
2007 | Maria Flordeluna | Reneboy Alicante | ABS-CBN |
Sineserye Presents: Natutulog Ba Ang Diyos? | Mark mdogo | ABS-CBN | |
2008 | Lobo | Tikboy | ABS-CBN |
Filamu za kawaida
haririMwaka | Jina | Jina alilotumia | Kampuni |
---|---|---|---|
2005 | Hari ng Sablay | Jay-jay | |
Happily Ever After | Leeboy | ||
2006 | Shake, Rattle & Roll 8: "Yaya" | Benjo | Regal Films |
2007 | Shake, Rattle and Roll 9: "Christmas Tree" | Stephen | Regal Films |
Angels | |||
Tiyanaks | Biboy | ||
2008 | Dayo | Sauti ya Bubuy | |
2009[1] | Land Down Under | TBA |
Muziki
haririAlbamu ya Dansi
hariri- Jump Around: Albamu ya Dansi ya Watoto ya Moose Gear
Tuzo
hariri- 2006 Metro Manila Film Festival, Mwigizaji Bora wa Kitoto kwa kucheza katika Shake, Rattle & Roll 8: "Yaya" [2]
Marejeo
hariri- ↑ Salut, Eric John (2008-11-03). "Staff ng 'The Buzz,' pumalag sa 'Showbiz Central'". People's Tonight (kwa Tagalog). Journal Online. Iliwekwa mnamo 2008-11-04.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Dimaculangan, Jocelyn (2008-07-11). ""Shake, Rattle and Roll 9" frightens the public anew December 25". Entertainment Guide/Movies. The Philippine Entertainment Portal. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-22. Iliwekwa mnamo 2008-06-29.