Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 10 Oktoba ni siku ya 283 ya mwaka (ya 284 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 82.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Pinito wa Knoso, Eulampi na Eulampia, Gereoni na wenzake, Vikta na Maloso, Kasio na Fiorenso, Klaro wa Nantes, Serboni, Tanka, Paulino wa York, Theodeilde, Danieli Fasanella na wenzake, Yohane Twenge, Daniele Comboni n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 10 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.