Nathaniel Harry Phillips (alizaliwa 21 Machi 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Liverpool.

Phillips akiwa na VfB Stuttgart mnamo 2019

Maisha ya Awali hariri

Phillips alizaliwa Bolton, huko Manchester.[1]

Maisha katika mpira hariri

Awali hariri

Mnamo 2016, Phillips aliondoka katika akademi ya Bolton Wanderers na kuelekea jiji la Huddersfield kupata mafunzo baada ya kupata ufadhili wa masomo katika Chuo Kikuu cha North Carolina huko Charlotte.[2] Siku mbili kabla ya safari yake ya kuelekea nchini Marekani, alijiunga na akademi ya Liverpool.[3][4]

Liverpool hariri

Katika msimu wa joto wa 2018 Phillips alianza kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Liverpool na kuwa mshiriki wa kikosi cha Jürgen Klopp[5] lakini bado alichezea timu ya akiba.

Marejeo hariri

  1. "Nathaniel Phillips". Liverpool F.C. Iliwekwa mnamo 31 January 2022.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Phillips turns down U.S. college scholarship for shot with Liverpool". ESPN. 12 March 2017. Iliwekwa mnamo 12 August 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "How Liverpool youngster came back from the brink to seal dream move to Reds". Liverpool Echo. 12 March 2017. Iliwekwa mnamo 12 August 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Bolton Wanderers Youngster Nat Phillips Joins Liverpool", The Lion Of Vienna Suite, 10 August 2016. 
  5. "Liverpool's 'hidden' pre-season star". Daily Mirror. 4 August 2018. Iliwekwa mnamo 12 August 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nat Phillips kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.