Nathaniel Bernard Najar (anajulikana kitaaluma kama Nate Najar, alizaliwa 28 Agosti 1981) ni mpiga gitaa, mtayarishaji wa muziki, na mtunzi wa muziki kutoka Marekani.

Anajulikana kwa kupiga gitaa la kiasili (classical guitar) katika mtindo wa jazzi.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Artist Nate Najar". All Music. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nate Najar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.