28 Agosti

tarehe
Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 28 Agosti ni siku ya 240 ya mwaka (ya 241 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 125.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Augustino wa Hippo, Ermes wa Roma, Pelaji wa Konstanz, Juliani wa Brioude, Aleksanda wa Konstantinopoli, Restitutus wa Karthago, Viviani wa Saintes, Musa Mwafrika, Florentina wa Cartagena, Edmundi Arrowsmith, Joakima wa Vedruna, Junipero Serra n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 28 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.