Nathan Lane
Joseph Nathan Lane (alizaliwa tar. 3 Februari 1956) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.
Nathan Lane | |
---|---|
Nathan Lane, mnamo 2018. | |
Amezaliwa | Joseph Lane 3 Februari 1956 Jersey City, New Jersey, US |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1975-hadi leo |
Ndoa | Devlin Elliott (2015) |
Marejeo
haririViungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nathan Lane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |