Nathan Morris (amezaliwa 18 Juni, 1971) ni mwimbaji na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani. Anajulikana sana kwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa kundi la muziki wa R&B la Kimarekani Boyz II Men.

Nathan Morris
Morris akitumbuiza mnamo 2008
Taarifa za awali
Amezaliwa18 Juni 1971 (1971-06-18) (umri 53)
Kazi yake
  • Mwimbaji
  • mfanyabiashara
AlaSauti, kinanda
Miaka ya kazi1988–hadi sasa
Studio
Ameshirikiana na
Wavutiboyziimen.com

Jisomee

hariri

Viungo vya Nje

hariri


Kigezo:US-RnB-singer-stub