18 Juni

tarehe
Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 18 Juni ni siku ya 169 ya mwaka (ya 170 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 196.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marko na Marseliani, Leonsi wa Tarabulus, Siriaki na Paula, Amandi wa Bordeaux, Kalojero wa Sisilia, Elizabeti wa Schonau, Gregori Yohane Barbarigo n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 18 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.