Ndama ni hasa mtoto wa ng'ombe, lakini mara nyingine neno hilo linatumika pia kwa watoto wa baadhi ya wanyama wa jamii hiyo.

Ng'ombe na ndama yake akinyonya
Makala hii kuhusu "Ndama" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.