Ndola ni jiji la pili nchini Zambia kwa ukubwa katika suala la maendeleo ya miundombinu (baada ya Lusaka) na la tatu kwa idadi ya wakazi (baada ya Lusaka na Kitwe).

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ndola (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.