Orodha ya miji ya Zambia

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Zambia yenye angalau idadi ya wakazi 10,000 (2007).

Lusaka
Kitwe
Ndola
Livingstone
Luanshya
Miji ya Zambia
Nr. Mji Idadi ya wakazi Mkoa
Sensa 1980 Sensa 1990 Sensa 2000 Makadirio 2007
1. Lusaka 535.830 769.353 1.084.703 1.346.522 Lusaka
2. Kitwe 283.962 288.602 363.734 415.720 Copperbelt
3. Ndola 250.490 329.228 374.757 401.529 Copperbelt
4. Kabwe 127.422 154.318 176.758 193.100 Kati
5. Chingola 130.872 142.383 147.448 148.469 Copperbelt
6. Mufulira 138.824 123.936 122.336 119.291 Copperbelt
7. Livingstone 61.296 76.875 97.488 113.849 Kusini
8. Luanshya 113.422 118.143 115.579 112.029 Copperbelt
9. Kasama 36.269 47.653 74.243 98.613 Kaskazini
10. Chipata 33.627 52.213 73.110 91.416 Mashariki
11. Kalulushi 53.383 31.474 52.770 72.994 Copperbelt
12. Mazabuka 29.602 24.596 47.148 72.220 Kusini
13. Chililabombwe 56.582 48.055 54.504 58.319 Copperbelt
14. Mongu 24.919 29.302 44.310 56.274 Magharibi
15. Choma 17.943 30.143 40.405 49.357 Kusini
16. Kafue 29.794 43.801 45.890 47.917 Lusaka
17. Kansanshi k.A. 23.435 34.068 43.571 Kaskazini-Magharibi
18. Kapiri Mposhi 8.839 13.540 27.219 43.259 Kati
19. Mansa 34.801 37.882 41.059 42.626 Luapula
20. Monze 14.079 15.910 24.603 32.784 Kusini
21. Mpika 14.375 20.950 25.856 29.447 Kaskazini
22. Nchelenge 9.000 15.436 20.709 24.929 Luapula
23. Sesheke k.A. 5.390 13.877 23.605 Magharibi
24. Mbala 11.179 11.116 16.936 22.187 Kaskazini
25. Kawambwa k.A. k.A. 17.954 21.731 Luapula
26. Samfya 9.689 12.718 17.622 21.674 Luapula
27. Siavonga k.A. 5.569 13.043 21.615 Kusini
28. Petauke k.A. 8.148 14.578 21.534 Mashariki
29. Mumbwa 7.570 11.015 15.949 20.434 Kati
30. Mwinilunga 3.377 6.342 10.745 15.217 Kaskazini-Magharibi
31. Chinsali 4.238 7.509 11.507 15.134 Kaskazini
32. Kaoma 6.700 9.165 12.363 14.985 Magharibi
33. Isoka 6.832 8.596 11.488 13.797 Kaskazini
34. Katete 6.488 7.165 10.413 13.404 Mashariki
35. Kalomo 5.878 8.386 11.004 13.092 Kusini
36. Mkushi 4.127 7.804 10.597 13.012 Kati
37. Lundazi k.A. 5.590 9.159 12.766 Mashariki
38. Maamba 6.600 8.817 10.415 12.732 Kusini
39. Mwansakombe k.A. 7.382 k.A. 12.272 Luapula
40. Chilanga k.A. 7.012 k.A. 12.097 Lusaka
41. Sinazongwe k.A. k.A. 10.415 11.981 Kusini
42. Nakonde k.A. k.A. 9.332 11.221 Kaskazini
43. Chambishi k.A. 9.945 k.A. 11.161 Copperbelt
44. Nakambala k.A. 7.503 k.A. 10.834 Kusini
45. Senanga k.A. 7.727 9.219 10.300 Magharibi

Tazama pia

hariri

Viungo vyo nje

hariri