Necmettin Erbakan (29 Oktoba 1926 - 27 Februari 2011) alikuwa mwanasiasa wa nnchi ya Uturuki, mhandisi, na msomi ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Uturuki kuanzia mwaka 1996 hadi 1997.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Necmettin Erbakan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.