29 Oktoba
tarehe
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Oktoba ni siku ya 302 ya mwaka (ya 303 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 63.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1920 - Baruj Benacerraf, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 1958 - Stefan Dennis
- 1959 - John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania (tangu 2015)
- 1971 - Winona Ryder
- 1990 - Amarna Miller
WaliofarikiEdit
- 1911 - Joseph Pulitzer, mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer
- 1950 - Mfalme Gustaf V wa Sweden
- 1958 - Zoë Akins, mwandishi kutoka Marekani
- 1971 - Arne Tiselius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisiani wa Karthago, Narsisi wa Yerusalemu, Honorati wa Vercelli, Zenobi wa Saida, Abrahamu mkaapweke, Teodari, Gaetano Errico n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |