Neele Eckhardt
Neele Eckhardt (alizaliwa 2 Julai 1992) ni Mjerumani anayeshiriki mchezo wa kuruka juu kutoka sehemu maalumu ya kuanzia[1]. Alishiriki kwenye Mashindano ya dunia katika Riadha ya wasichana warukao juu mwaka 2017.
Marejeo
hariri- ↑ "Neele ECKHARDT-NOACK | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-09-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Neele Eckhardt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |