Neema William Mgaya

Mwanasiasa wa Tanzania

Hon. Neema William Mgaya (amezaliwa tarehe 23 Disemba 1980) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017