Negin Khpalwak

kondakta wa kwanza wa kike nchini Afghanistan

Negin Khpalwak (alizaliwa Kunar, Afghanistan, 1997) ni mwanamke anayecheza chombo cha muziki kinachoitwa Zohra orchestra. Ni mwanamke wa kwanza wa Afghanistan kutoka taasisi ya taifa ya muziki ya Afghanistan. [1]

Picha ya Negin khpalwak
Picha ya Negin khpalwak (2016).

Mnamo mwezi Februari 2017, orchestra ilicheza kwenye Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos, Uswisi.[2]

Marejeo hariri

  1. "Afghan teenager braves threats, family pressure to lead women's orchestra", Reuters (kwa Kiingereza), 2016-04-18, iliwekwa mnamo 2022-03-21 
  2. "Afghan orchestra puts women's rights center stage at Davos", Reuters (kwa Kiingereza), 2017-01-19, iliwekwa mnamo 2022-03-21 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Negin Khpalwak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.