Neil Leyton ni mwimbaji na mpiga gitaa wa Kiporta na Kanada alizaliwa huko Lisbon, Ureno. Ameishi na kutumbuiza muziki huko Toronto, London, na Stockholm.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-09. Iliwekwa mnamo 2024-12-07.
  2. Neil Leyton at Internet Archive
  3. Leyton conference on Creative Commons, Helsinki, Finland
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Neil Leyton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.