Nelion ni kilele kimojawapo cha Mlima Kenya unaopatikana nchini Kenya.

Nelion (kulia) na Batian (kushoto).

Kina urefu wa mita 5,188 juu ya usawa wa bahari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri