Kwa Kiswahili ni Jumba Jipya la Cargen na liko katika mtaa wa Harambee jijini Nairobi.

Ofisi za Car and General Kenya ziko katika jumba hili.