New Ford-Kenya ni chama cha kisiasa nchini Kenya kilichojitenga na FORD-Kenya kabla ya uchaguzi 2007. Kiongozi wake ni Mukhisa Kituyi. Kilishiriki na Party of National Unity na kumpigania Mwai Kibaki kwa kura ya rais.

Chama kiliingia bungeni na wabunge 3.