Ngoma (ala ya muziki)

Ngoma ni ala ya muziki inayopigwa kwa mkono au kwa fimbo.

Ngoma inapigwa
Ngoma za plastiki

Ngoma hufanywa kwa kukaza utando juu ya mzinga. Utando mara nyingi ni wa ngozi na siku hizi pia plastiki. Mzinga unaweza kufanywa kwa ubao, metali, udongo uliofinyangwa au chochote kile kinacholeta nafasi yenye kuta na uwazi ambako utando unafungwa.

Ngoma ni ala ya jadi katika Afrika na pia sehemu nyingine za dunia. Mara nyingi zilitengenezwa kwa kutumia kipande cha shina la mti na kuondoa ubao wa katikati halafu kukaza ngozi juu yake.

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ngoma (ala ya muziki) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.