Nicholas Hlobo
Nicholas Hlobo, ni msanii wa nhini Afrika Kusini aliyeko Johannesburg. Alizaliwa mnamo mwaka 1975 huko Cape Town . Alipata Shahada ya Kwanza ya Teknolojia kutoka mwaka 2002. [1] Pia hufanya kazi ya uchongaji sanamu.
Marejeo
hariri- ↑ "Nicholas Hlobo". Tate. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
hariri- Rolex Mentor na Protege Arts Initiative
- Nicholas Hlobo, Michael Stevenson Gallery Ilihifadhiwa 27 Julai 2010 kwenye Wayback Machine.
- Kutana na Nicholas Hlobo, tuzo ya Msanii Chipukizi wa Benki ya Standard
- Rolex Mentor na Protege Arts Initiative
- Nicholas Hlobo, Afrika Kusini Maelezo
- Uhambo, Tate Modern
- Makala kuhusu Nicholas Hlobo, Mail & Guardian
- Nicholas Hlobo na Sue Williamson, Artthrob
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Hlobo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |