Nick Ponte
Nick Ponte (amezaliwa Maui huko Hawaii[1], 19 Disemba 1987) ni mjasiriamali wa Marekani.[2]
Alianza kazi yake kama fundi wa magari na kisha akawa na kampuni yake ya uuzaji iliyoitwa Nick Ponte Marketing.[3]
Marejeo
hariri- ↑ "Nick Ponte an Expert in Advertising for Local Businesses".
- ↑ "Nick Ponte Inspires over 200 People Each Week with His Aloha Friday Marketing Jam Session". 16 Desemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.outlookindia.com/outlook-spotlight/nick-ponte-helps-local-businesses-with-their-marketing-news-198638
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nick Ponte kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |