Jimbo la Nile ya Juu

Jimbo a Sudani ya kusini
(Elekezwa kutoka Nile ya Kijuu)
Makala hii inahusu jimbo la Sudan Kusini. Kuhusu mkoa wake, tazama "Greater Upper Nile". Kuhusu mto, tazama Nile.

29°32′N 32°40′E / 29.533°N 32.667°E / 29.533; 32.667

Upper Nile

Nile ya Juu (kwa Kiing.: Upper Nile; kwa Kar. أعالي النيل a'ala an-nil) ni moja ya majimbo (wilayat) ya Sudan Kusini. Lina ukubwa wa eneo la km² 22,122 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000).

Malakal ndio mji mkuu wa jimbo hilo.

Mto wa Nile Nyeupe unapitia hapa.

Mji wa Kodok, ambao ndio mahala pa Matukio ya Fashoda yaliyomaliza mashindano ya wakoloni kugawa Afrika uko katika jimbo hili.

Vituo vya zamani vya wamisionari katika jimbo la Upper Nile ni pamoja na Dolieb Hill, Lul na Detwoc.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Nile ya Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.