Nina Burleigh

Mwandisdi na mwandishi wa habari wa Marekani

Nina D. Burleigh ni mwandishi na mwandishi wa habari za uchunguzi wa nchini Marekani. Binti wa mwandishi Robert Burleigh.[1]

Mwandishi wa habari Nina Burleigh

Anaandika vitabu, makala, insha na hakiki.

Marejeo hariri

  1. Robert, Burleigh. "Robert Burleigh". RobertBurleigh.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-08. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nina Burleigh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.