Njabulo Ndebele
Mwandishi wa Afrika Kusini
Njabulo Ndebele (amezaliwa 4 Julai 1948 mjini Johannesburg) ni mwandishi na mhadhiri wa Afrika Kusini. Alisomea fasihi nchini Lesotho, pia Uingereza na Marekani. Pia ni mwanachama mwanzilishi wa Congress of South African Writers (COSAW).
Njabulo Ndebele | |
Amezaliwa | Njabulo Simakahle Ndebele 1948 Johannesburg, Afrika Kusini |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Maandishi yake
hariri- Fools and Other Stories (1983)
- Rediscovery of the Ordinary (insha, 1991)
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Njabulo Ndebele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |