4 Julai
tarehe
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Julai ni siku ya 185 ya mwaka (ya 186 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 180.
Matukio Edit
- 1415 - Papa Gregori XII anajiuzulu ili kumaliza farakano la Kanisa la magharibi
- 1776 - Marekani inatangaza uhuru wake kutoka Uingereza
Waliozaliwa Edit
Waliofariki Edit
- 966 - Papa Benedikto V
- 1336 - Mtakatifu Elizabeti wa Ureno, malkia Mfransisko kutoka Hispania
- 1826 - John Adams, Rais wa Marekani (1797-1801)
- 1826 - Thomas Jefferson, Rais wa Marekani (1801-1809)
- 1831 - James Monroe, Rais wa Marekani (1817-1825)
- 1891 - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1900 - Mtakatifu Sesidi Giacomantonio, padri Mfransisko kutoka Italia, mmisionari na mfiadini nchini China
- 2001 - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 2006 - Lars Korvald, mwanasiasa kutoka Norwei
Sikukuu Edit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Ureno, Jokondiani, Lauriano wa Vatan, Andrea wa Krete, Ulderiki wa Augsburg, Sesidio Giacomantonio n.k.
Viungo vya nje Edit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |