Benjamin Nnamdi Azikiwe (kwa kawaida hujulikana kama Nnamdi Azikiwe, au, kinyumbani na maarufu, Zik; 16 Novemba 190411 Mei 1996) alikuwa mwanzilishi wa nadharia ya siasa ya utaifa wa Nigeria na pia rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia wa Nigeria ya leo. Alishirikilia nafasi kama mwanajamhuri wa kwanza wa Nigeria.

Sanamu ya Nnamdi Azikiwe huko Owerri

Azikiwe alifafanua siasa ya "Uziki" katika maandishi yake, kama vile: Renascent Africa (1973) na historia ya maisha yake: My Odyssey.

Nnamdi Azikiwe

Uziki unategemea misingi mitano kwa ukombozi wa Afrika:

  • Uwiano wa kiroho[1]
  • Jamii kuzaliwa upya[2]
  • Nia katika uchumi[3]
  • Ukombozi wa akili[4]
  • Ufufuko wa kisiasa[5]

Tanbihi

hariri
  1. To show empathy for other peoples views, and recognize their right to hold such views.
  2. To expel from one's self national, religious, racial, tribal, political-economic, and ethical prejudice.
  3. To realize that being self-sufficient economically is the basis for rescuing the Renascent African.
  4. To be knowledgeable of African history and accomplishments, and to dismiss any kind of complex exhibited by any race or tribe.
  5. To regain the sovereignty that Africa has lost to colonialists.

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nnamdi Azikiwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.