Mwanzilishi ni jina linalotumika kwa mtu aliyeanzisha muundo au jambo fulani.

Katika historia ya utawa linamaanisha hasa mwanamume au mwanamke aliyejaliwa karama ya pekee iliyovuta watu wengine hata likatokea shirika.