Noni Jabavu

Helen Nontando "Noni" Jabavu (1919 - 19 Juni 2008) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika wasifu na hadithi kwa lugha za Kiingereza na Kixhosa kuhusu maisha ya kila siku. Tangu umri wa miaka 13, aliishi Uingereza.

Maandishi yakeEdit

  • Drawn in Colour (1960)
  • The Ochre People: Scenes from a South African life (1963)

Angalia piaEdit

MarejeoEdit

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Noni Jabavu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.