Nonso Anozie (alizaliwa 17 Novemba 1978) ni muigizaji wa Uingereza aliyefanya kazi ya filamu na televisheni.

Anozie katika onyesho la kwanza la Pan mnamo 2015
Anozie katika onyesho la kwanza la Pan mnamo 2015

Alipata umaarufu kwa filamu zifuatazo RocknRolla, Sergeant Dap in Ender's Game, Abraham Kenyatta in Zoo, Captain of the Guards in Cinderella na Xaro Xhoan Daxos kwenyeHBO televisheni Game of Thrones.

Maisha ya awali hariri

Anozie alizaliwa mjini London, England, lakini asili yake ni Igbo. [1][2][3][4] Alihitimu katika shule ya Central School of Speech and Drama mnamo mwaka 2002, [5] na pia mwaka huo huo alicheza katika filamu iitwayo William Shakespeare's King Lear, na akashinda tuzo ya Ian Charleson Award. Mnamo mwaka 2004alishiriki katika Othello.[6]

Kazi hariri

Anozie aliajiriwa mnamo mwaka 2006 kwa ajili ya kutoa sauti ya dubu silaha katika filamu ya Iorek Byrnison katika film adaptation of Philip Pullman's Northern Lights.[7] Anozie alibadilishwa akawekwa Ian McKellen kwa miezi miwili kabla ya filamu kutoka. [8] Muongozaji wa filamu, Chris Weitz, aliiambia Empire: "ilikua ni maamuzi ya studio ,ili uelewe kuwa huna haja ya kumlalamikia Ian McKellen kwa kitu chochote. Lakini kubadilishwa kwa Nonso ilikua ni moja ya maumivu ya kazi katika filamu hii. Nataka kusema kua Nonso ni mojawapo wa kijana muigizaji mzuri sana nchini Uingereza, na nimefanya kazi hapa kwa mda sahivi na sasa hivi atakuepo katika filamu ya Mike Leigh [film] Lakini kuondoka kwa Nonso ilikua kama giza kwangu, kwa sababu ninaipenda sana kazi yake. "[9].

Marejeo hariri

  1. Obenson, Tambay A. (10 May 2012). "British-Nigerian Actor Nonso Anoze ("Game of Thrones") Talks To S&A About Stage, TV & Film Career + More...". Shadow and Act. Indiewire. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 May 2015. Iliwekwa mnamo 6 November 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Jury, Louise (29 November 2013). "Actor Nonso Anozie: 'I'm playing the original superhero in blockbuster series The Bible'". London Evening Standard. Iliwekwa mnamo 21 March 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Nonso Anozie on Twitter", Twitter. (en) 
  4. "Nonso Anozie". IMDb. Iliwekwa mnamo 2018-04-04. 
  5. "Nonso Anozie – Biography". IMDb. Iliwekwa mnamo 9 July 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. Obenson, Tembay A. (10 May 2012). "British-Nigerian Actor Nonso Anozie ("Game Of Thrones") Talks To S&A About Stage, TV & Film Career + More…". Indie Wire. Iliwekwa mnamo 23 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. "The Real Iorek". BridgeToTheStars.net. Iliwekwa mnamo 10 November 2007.  Check date values in: |accessdate= (help)
  8. "Ian McKellen Voicing Iorek". BridgeToTheStars.net. Iliwekwa mnamo 10 November 2007.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Kristin Scott Thomas in Golden Compass". Empire. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-28. Iliwekwa mnamo 10 November 2007.  Check date values in: |accessdate= (help)