Nora Orlandi (pia alijulikana kama Joan Christian, 28 Juni 19331 Januari 2025) alikuwa mpiga kinanda, mpiga fidla, mwimbaji wa soprano, mtunzi wa nyimbo, na mara kwa mara mwigizaji kutoka Italia [1].

Nora Orland

Marejeo

hariri
  1. Eustachi, Paolo. "La prima storica compositrice italiana di musica per film – Intervista esclusiva a Nora Orlandi". colonnesonore.net. Iliwekwa mnamo 8 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nora Orlandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.