Nordine Assami
Nordine Assami (alizaliwa Marseille, 24 Julai 1987) ni mchezaji wa soka mstaafu wa Ufaransa-Algeria na meneja wa timu ya SC Air Bel ya U16.
Senior career* | |||
---|---|---|---|
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2004–2005 | Cannes | 6 | (0) |
2005–2007 | Strasbourg B | 39 | (2) |
2007–2008 | Istres | 11 | (0) |
2008–2009 | Marignane | 9 | (0) |
2009 | 1. FK Příbram | 1 | (0) |
2009–2011 | Gap | 56 | (5) |
2011–2012 | JS Kabylie | 5 | (0) |
2012–2013 | GS Consolat | 26 | (1[1]) |
2013–2014 | US Marignane | 13 | (1) |
2014–2015 | FC Martigues | 22 | (3) |
2015–2016 | GS Consolat | 16 | (0) |
2016–2018 | Aubagne FC | 49 | (14) |
2018 | FC Rousset SVO | ||
2018–2019 | AS Gémenosienne | 16 | (2) |
Teams managed | |||
2019– | SC Air Bel (U16) | ||
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only. † Appearances (Goals). |
Klabu
haririTarehe 29 Juni 2011, Assami alisaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Algerian Ligue Professionnelle 1 JS Kabylie.[2] Alirejea Ufaransa majira ya joto ya 2012, akijiunga na GS Consolat.[3]
Kazi ya Ufundishaji
haririMajira ya joto ya mwaja 2019, Assami alikuwa meneja wa timu ya U16 ya SC Air Bel.[4]
Heshima
hariri- Ameshinda Coupe Gambardella mara moja na RC Strasbourg mwaka 2006[5]
Marejeo
hariri- ↑ Nordine Assami joueur de Marseille Consolat Groupe Sportif - Foot-National.com
- ↑ Assami et Maâyouf ont signé hier pour deux ans Archived 2012-06-13 at the Wayback Machine kwenye Le Buteur, 30 Juni 2011
- ↑ foot-national.com. "Consolat Marseille : Arrivée de Nordine Assami", Foot National, 2012-07-04. Retrieved on 2023-06-10. (fr) Archived from the original on 2020-11-29.
- ↑ NORDINE ASSAMI « ON EST TOMBÉS CONTRE UNE TRÈS BELLE ÉQUIPE », actufoot.com, 10 Septemba 2019
- ↑ "Nordine Assami". www.racingstub.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-02-05.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nordine Assami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |