Marseille (kwa Kioksitania: Marselha) ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur, kusini mwa Ufaransa.

Jiji la Marseille
Jiji la Marseille is located in Ufaransa
Jiji la Marseille
Jiji la Marseille

Mahali pa mji wa Marseille katika Ufaransa

Majiranukta: 43°17′47″N 5°22′12″E / 43.29639°N 5.37000°E / 43.29639; 5.37000
Nchi Ufaransa
Mkoa Provence-Alpes-Côte d'Azur
Wilaya Bouches-du-Rhône
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 855,393
Tovuti:  www.marseille.fr
Mji wa Marseille
bendera
Nembo ya mji.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2013, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu.

Mji uko mita 0-640 juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marseille kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.