Norwegian (Norwegian Air Shuttle) ni shirika kuu la ndege la Norwei. Lina makao makuu mjini Fornebu. Norwegian inasafiri katika miji 153 kote duniani.

Norwegian
IATA
DY
ICAO
NAX
Callsign
NOR SHUTTLE
Kimeanzishwa 1993
Vituo vikuu Oslo Airport, Paris-Charles de Gaulle Airport
Programu kwa wateja wa mara kwa mara Norwegian Reward
Muungano Airlines for Europe
Subsidiaries
  • Norwegian Air International
  • Norwegian Air Shuttle
  • Norwegian Air UK
  • Norwegian Long Haul
  • Norwegian Air Argentina
  • Norwegian Air Norway
  • Norwegian Air Sweden
Ndege zake 163
Shabaha 153
Nembo World's Best Long-Haul, Low-Cost Airline
Kampuni mama IAG
Makao makuu Fornenu, Norwei
Watu wakuu
Tovuti www.norwegian.com

Norwegian ilianzishwa mnamo 22 Januari 1993[1].

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Norwegian kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.