Noti (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Noti inaweza kumaanisha
- Noti ya benki, kipande cha karatasi kinachotolewa na serikali ili kutumika kama fedha.
- Noti ya muziki, alama inayowakilisha sauti katika muziki.
- Noti (kizio), kizio cha kasi cha kutaja mwendo wa maili 1 ya baharini wa saa.