Novara ni mji wa mkoa wa Piemonte, Italia Kaskazini.

Sehemu ya mji wa Novara

Una wakazi 104,388 na hivyo ni wa 42 nchini Italia na wa 2 mkoani Piemonte baada ya Torino.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Novara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.