Nuno Mendes
Mchezaji mpira wa Ureno (aliyezaliwa 2002)
Nuno Alexandre Tavares Mendes ( (alizaliwa 19 Juni 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ureno, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ureno.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Nuno Mendes". Maisfutebol (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
- ↑ "Nuno Mendes". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 2002-06-19. Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nuno Mendes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |