Nyköping

Nyköping ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 27,720 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1444.

Mtaa wa Nyköping
Nyköping Municipality in Södermanland County.png

JiografiaEdit

Eneo lake ni 12.31 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.