.

Akiwa katika tamasha la filamu za kikubwa maarufu kama AVN Adult Entertainment

Nyomi Banxxx (amezaliwa Amanda Dee; 14 Oktoba, 1972) ni mwigizaji wa zamani wa filamu za ponografia na mtangazaji wa vipindi vya redio kutoka nchini Marekani.[1] Banxxx aliingia katika tasnia ya filamu za kikubwa mnamo 2006 na kustaafu mwaka wa 2013.[1]

Jina lake la kisanii linatokana na wanamitindo maarufu Naomi Campbell na Tyra Banks.[2]

Marejeo

hariri
  1. Jump up to: 1.0 1.1 TBTentGroup (2013-01-11). "HHV Exclusive: Nyomi Banxxx talks XXX career, moving on to radio, and more". Hip Hop Vibe. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-03. Iliwekwa mnamo 2014-01-22. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  2. Miss Lagsalot (2011-02-08). "Nyomi Banxxx — "Honestly, we all have a little freak in us!"". WHACK! Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-16. Iliwekwa mnamo 2014-02-27. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: