Nyotamkia zilizotembelewa na vyombo vya angani

Hii ni orodha ya nyotamkia zilizotembelewa na vyomboanga

Nyotamkia
(kometi)
Mwaka wa kugunduliwa Chomboanga Mwaka wa ziara Imekaribia hadi kilomita Maelezo
Giacobini–Zinner 1900 ICE 1985 7800 chomboanga kimepita
Halley imejulikana tangu kale Vega 1 1986 8889 chomboanga kimepita
Halley imejulikana tangu kale Vega 2 1986 8030 chomboanga kimepita
Halley imejulikana tangu kale Suisei 1986 151000 chomboanga kimepita kwa mbali
Halley imejulikana tangu kale Giotto 1986 596 chomboanga kimepita
Grigg–Skjellerup 1902 Giotto 1992 200 chomboanga kimepita
Borrelly 1904 Deep Space 1 2001 2171[1] chomboanga kimepita
Wild 2 1978 Stardust 2004 240 chomboanga kimepita; returned samples to Earth
Tempel 1 1867 Deep Impact 2005 kometi imegongwa chomboanga kimepita; kilipiga kasoko kwa risasi ya impactor
Hartley 2 1986 EPOXI
(sawa na chombo cha Deep Impact)
2010 700 chomboanga kimepita; ndiyo kometi ndogo zaidi iliyotembelewa hadi 2014
Tempel 1 1867 Stardust 2011 181 chomboanga kimepita; kilipiga picha za kasoko iliyosababishwa na Deep Impact
Churyumov–Gerasimenko 1969 Rosetta 2014 angalau 131 km[2] 11 Novemba 2014 lander yake imetua juu ya kometi
Churyumov–Gerasimenko 1969 Philae (Rosetta's lander) 2014 11 Novemba 2014 lander yake imetua juu ya nyotamkia

Tazama piaEdit

MarejeoEdit