Unyoya

(Elekezwa kutoka Nyoya)

Unyoya ni unywele ambao hutokea katika mwili wa ndege na wanyama wengine.

Unyoya wa Tausi.

Manyoya yanawafunika na kuwasaidia kutunza joto la mwili. Manyoya pia huwalinda kutokana na majeraha.

Hatimaye katika spishi nyingi za ndege, manyoya huwasaidia kuruka.[1]

Marejeo hariri

  1. http://www.yale.edu/eeb/prum/pdf/Prum_n_Brush_2002.pdf
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Unyoya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.