Nyumba ya Tembo, Zanzibar

Nyumba ya Tembo ni jumba la Kiarabu lililojengwa ukingoni mwa maji huko Zanzibar, Tanzania.

Nyumba ya Tembo ikijulikana pia kama Tembo Hotel, 2021.

Mnamo 1990 lilikarabatiwa litumike kama hoteli.[1]

Marejeo hariri