Nyutroni
Nyutroni (pia: neutroni, kutoka Kilatini "neuter" - "asiye mmoja kati ya wawili") ni chembe inayopatikana ndani ya atomi zote. Ni sehemu ya kiini cha atomi isiyo na chaji yoyote, wala chanya wala hasi.
Masi ya nyutroni ni ndogo sana. Huaminiwa ya kwamba kila nyutroni inajengwa na quark tatu.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyutroni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |